JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mwenye Enzi Mungu ibariki Tanzania na watu wake utupe good health, wealth, love, peace, happiness, knowledge and wisdom sisi na vizazi vyetu milele yote katika jina la Yahushua ha Mashaich, Amen Ra
 
Wadau huku usingizi sina kabisa.wapi kuna kijiwe cha stori nikapitezee muda[emoji15] [emoji15]
 
e5333982cd305cfa01c0120fd8b33ddf.jpg
 
Mola wangu ijalie nchi yangu nzuri na watu wake, tujalie hekima na busara milele yote Amen Ra
 
Namsikilizia wife anakoroma tu hapa pembeni yangu...mie tangu saa tatu usiku tumbo linanipigisha marktime kadhaa za maliwatoni...mpaka dakika hii nshagonga safari za toileti kama 4 hivi
Pole baba Tina mimi kumekucha zamani kwangu hivi nimemaliza Bf naondoka kwenda kwenye kibarua ila wanasema septrin zinasaidia sana magonjwa hayo.
 
Ntakua nautembelea huu uzi, maana nna changamoto za kupata usingizi, nikilala mf saa nne usiku ntashtuka saa saba au nane hapo ndo mpaka kuchele.
 
  • Thanks
Reactions: SDG
Back
Top Bottom