JamiiForums Usiku wa manane

Kuna mambo mengine ni mazito nafc kuweza kukubali
Najua kuwa ni ngumu.......lakini kumbuka kuwa, maji yakimwagika,hayawezi kuzoleka! Lazima nafsi yako ikuvaliane na hali halisi ili kuiishi vyema kesho yako.

Watu tunapitia mengi,ila yatubidi kukaza moyo kwa kujitahidi kufurahisha nafsi zetu ili maisha yaendelee!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…