JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Mkuu hapa nipo kwenye matope nimeanguka kifikra, akili haipo sawaa kabisaaa
Screenshot_2017-08-26-00-26-14.png
 
Kuna mambo mengine ni mazito nafc kuweza kukubali
Najua kuwa ni ngumu.......lakini kumbuka kuwa, maji yakimwagika,hayawezi kuzoleka! Lazima nafsi yako ikuvaliane na hali halisi ili kuiishi vyema kesho yako.

Watu tunapitia mengi,ila yatubidi kukaza moyo kwa kujitahidi kufurahisha nafsi zetu ili maisha yaendelee!
 
Back
Top Bottom