JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kipindi bado nikiwa shule ilikuwa kama nitapewa home work basi nasubiria ule muda watu wote home wamelala mi ndio nafanya hoe work zangu, nilipomaliza shule, nikaingia chuo flani nako ikawa vivyo hivyo, baada ya kumaliza chuo nikawa pia naendelea na kufanya kazi usiku

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom