JamiiForums Usiku wa manane

Ahaa kumbe, ndo mana kila nikienda kuwanga angani nakutana na mawimbi ya ajabu kumbe napishana na Mb's za watu[emoji12] [emoji40]
Hukutani na MB bali maombi ya nguvu kutoka kwa waamini!

Acha kuwanga badala yake uwe unakaa hapa kutulindia uzi wetu,vinginevyo siku si nyingi hayo mawimbi yatakudondosha uaibike bure...[emoji12] [emoji12] [emoji12]
 
Fellow popoz bado niko geita leo nimeingia wilaya ya mbongwe nimepalamia popo moja toto ya kagame ni hatari yani kaz kaz kama yule mzalendo wa chato hapa tumemaliza first round ameingia bafuni ila nahis she takes so long cjui anampango gani na mimi nisipoonenakana tena jukwaani let this be my goodbye!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…