Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,193
- 27,078
Nmekuja kwa kasTupo mbona leo unanitisha
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nmekuja kwa kasTupo mbona leo unanitisha
Kumbe ndo unajificha huku eeh?sasa ole wako usirudi kule kesho nakugeuza nyama choma [emoji41][emoji41][emoji41]Father mtoto
Leo hii balaa kulikoni kuna usalama?Nmekuja kwa kas
Upo kabisaa naona watu ziiiiLeo hii balaa kulikoni kuna usalama?
Saa 6 - 9Hivi usiku wa manane unaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi?
Amekuja kuitikia rokoo atarudiKumbe ndo unajificha huku eeh?sasa ole wako usirudi kule kesho nakugeuza nyama choma [emoji41][emoji41][emoji41]
Nipo siwezi kukukimbia[emoji39] [emoji39] [emoji39]Kumbe ndo unajificha huku eeh?sasa ole wako usirudi kule kesho nakugeuza nyama choma [emoji41][emoji41][emoji41]
Unaanza mida ya wanga[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi usiku wa manane unaanza saa ngapi na kuisha saa ngapi?
Kuku wengi[emoji23] [emoji23] [emoji23]Upo kabisaa naona watu ziiii
Nomaaa sana hadi alibakari au bando limemwishiaKuku wengi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ahaa kumbe, ndo mana kila nikienda kuwanga angani nakutana na mawimbi ya ajabu kumbe napishana na Mb's za watu[emoji12] [emoji40]Saa 6 - 9
Aisee, saivi itabidi nianze kuwanga usiku wa matisa, sababu kila nikichungulia dirishana naona mwanga wa simu naghairi.Unaanza mida ya wanga[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ya kweli hayo???na relato ana karibia kurudi huku sasa...Nipo wifi shemeji yako hajambo naskia sikuhz kuna kimchepuko kinambana ndo mana haonekani tena mida hii[emoji3]
Hukutani na MB bali maombi ya nguvu kutoka kwa waamini!Ahaa kumbe, ndo mana kila nikienda kuwanga angani nakutana na mawimbi ya ajabu kumbe napishana na Mb's za watu[emoji12] [emoji40]
Unakuwa kakosea kuunga bando.Nomaaa sana hadi alibakari au bando limemwishia
Inawezekana[emoji3]Unakuwa kakosea kuunga bando.
Ameunga la usingiz badala ya la Mb.