Kama usingiz ni afya basi Inna utakuwa na kwashakooUpo kabisaa naona watu ziiii
[emoji39][emoji137][emoji137][emoji137]
HahahahahaYule ana mbinu Kali, hata kwenye jua Kali anaweza kuwanga na mtu asimwone, kwakweli simwezi
Aangalie tu asije akapitiliza...akalala siku 5 mfululizo [emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaha leo fo fo fo huko
Wengine bundi [emoji39] [emoji23] [emoji23]Nadhani mnaendelea vizuri kabisa popoooz wote
Atakurupuka tu soon itakuja na mbwembwe zakeLeo naona kaniachia ulingo mpk saa saba hii hajaja haji tena
Hope uko poa sana jirani maana umeweza kucheka mdomo upande[emoji39]
Hahaha sema utajiri wangu kwa kiasi kikubwa nawagaia wasio nacho, kama sio ivyo ungeniona kwa jarida la Forbes nashindana na Bilget.Bila shaka utakuwa mwanga tajiri duniani,maana kama mtu mmoja anakulimia heka 2 kwa usiku mmoja tu....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Atakuwa kimbaombao wa usingiziKama usingiz ni afya basi Inna utakuwa na kwashakoo
Mali ya mwanga huliwa na wanga wenzie...Hahaha sema utajiri wangu kwa kiasi kikubwa nawagaia wasio nacho, kama sio ivyo ungeniona kwa jarida la Forbes nashindana na Bilget.
Usingizi na chakula hivi vitu huwezi ku compansate.Aangalie tu asije akapitiliza...akalala siku 5 mfululizo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikuona kwa mbali nikahisi nakufananisha,Tupooo tupooooooo
Me niko poa rafiki, natamani uje ila kila nikikumbuka "Seduce me" power yako mmh..Mambo rafiki,nije kukusaidia lindo Leo?
Mimi kwa usingizi, huwa nacompasate vizuri tu![emoji2] [emoji2]Usingizi na chakula hivi vitu huwezi ku compansate.
Usipo kula siku 3 uwezi kula food ya siku 3
Hata usingizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ohooooh hii ni mali ya wote bhana, kama vip hebu nidokeze M-pesa yako niijaze fasta.Mali ya mwanga huliwa na wanga wenzie...
Huna lolote unataka ujue location yangu ili ije kuniwangia.....hunipati ng'oo! [emoji57] [emoji57]Ohooooh hii ni mali ya wote bhana, kama vip hebu nidokeze M-pesa yako niijaze fasta.
Okey kazana bestMie nipoooooo leo ndo mlinzi msaidizi
Teh teh teh wanasema kucheka kwa swaga jirani[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hope uko poa sana jirani maana umeweza kucheka mdomo upande