JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Bila shaka utakuwa mwanga tajiri duniani,maana kama mtu mmoja anakulimia heka 2 kwa usiku mmoja tu....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hahaha sema utajiri wangu kwa kiasi kikubwa nawagaia wasio nacho, kama sio ivyo ungeniona kwa jarida la Forbes nashindana na Bilget.
 
Aangalie tu asije akapitiliza...akalala siku 5 mfululizo [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Usingizi na chakula hivi vitu huwezi ku compansate.
Usipo kula siku 3 uwezi kula food ya siku 3
Hata usingizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom