See you baadae kidogoUsingizi na chakula hivi vitu huwezi ku compansate.
Usipo kula siku 3 uwezi kula food ya siku 3
Hata usingizi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo kapoteaInna analala mapema sanaa mbonaa, ila huyo jamaa mwingine huyooo mmmmh
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Huna lolote unataka ujue location yangu ili ije kuniwangia.....hunipati ng'oo! [emoji57] [emoji57]
Jirani kipenzi kulikoniOkey kazana best
Ngoja mie nisepe zangu
Ok jirani siku hizi unapita tuSee you baadae kidogo
Itakua anaenda round ya piliJirani kipenzi kulikoni
Kwa huku niliko ukianza safari usiku wa manane utanifikia saa 2 asubuhi....[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kumbe hujui kupitia replies za coment zako nshaipata location yako...
Nina majukumu mengine jirani yanguJirani kipenzi kulikoni
Bora nipite nifarijike kuliko kutokupita nisononekeOk jirani siku hizi unapita tu
Hahaha inaonyesha hautambui uwezo na nguvu tulizonazo, hakuna umbali mrefu kwetu sekunde 30 tayari nishakufikia, sisi huwa tunapalilia kabla ya usiku wa manane na baada ya usiku wa manane (sijui ndo mnaita morning glory) kuoa au kuolewa na mwanga raha sana.Kwa huku niliko ukianza safari usiku wa manane utanifikia saa 2 asubuhi....
Hebu kwanza nikuulize swali.....hivi nyie wanga,ndoa zenu huwa mnazipalilia saa ngapi? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Nitaharibu hukuBado mapema sanaa twende mpk na nusu hv
Teh teh tehItakua anaenda round ya pili
Ya usingizi lakin[emoji12] [emoji12] [emoji125]
Nimefurahi kukuona piaNina majukumu mengine jirani yangu
Nashukuru maana hofu yangu utulia juu yakoBora nipite nifarijike kuliko kutokupita nisononeke
Baadae jirani [emoji124][emoji124][emoji124]
Me yangu yameona mbali zaidi hilo tangazo la Mganga mashuhuri kutoka Sumbawanga liko kwenye nguzo ya umeme na sio mti, alafu pembeni ya nguzo kuna jaribu moja kubwa sana linaloweza kusababisha kichwa kisicho na macho kuona.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jomoni...Me niko poa rafiki, natamani uje ila kila nikikumbuka "Seduce me" power yako mmh..