JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

d03656aa3aabbdf79d2a76d5c59057b9.jpg
 
Kwa huku niliko ukianza safari usiku wa manane utanifikia saa 2 asubuhi....

Hebu kwanza nikuulize swali.....hivi nyie wanga,ndoa zenu huwa mnazipalilia saa ngapi? [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Hahaha inaonyesha hautambui uwezo na nguvu tulizonazo, hakuna umbali mrefu kwetu sekunde 30 tayari nishakufikia, sisi huwa tunapalilia kabla ya usiku wa manane na baada ya usiku wa manane (sijui ndo mnaita morning glory) kuoa au kuolewa na mwanga raha sana.
 
Back
Top Bottom