Kweli jana niliiona nguvu yenu,maana baada ya sekunde 30,nililala fofofo .....sijui ndo ulinipeleka shamani kwako [emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahaha inaonyesha hautambui uwezo na nguvu tulizonazo, hakuna umbali mrefu kwetu sekunde 30 tayari nishakufikia, sisi huwa tunapalilia kabla ya usiku wa manane na baada ya usiku wa manane (sijui ndo mnaita morning glory) kuoa au kuolewa na mwanga raha sana.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Kweli jana niliiona nguvu yenu,maana baada ya sekunde 30,nililala fofofo .....sijui ndo ulinipeleka shamani kwako [emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kumbe ndo janja yenu...kupalilia ndoa kabla na baada ya usiku wa manane eeeh! [emoji12] [emoji12]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utii moyo wako uniache,maana kama kwa kukagua tu niliamka nikiwa hoi nikilima je?[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikupeleka tu kukagua utendaji kazi wa wengine, sijui kwanini kila nikitaka kukulimisha kamoyo kananiambia nikuache[emoji12] [emoji40]
Hahaha huwaga tunapewa ruhusa ya kumtetea mtu Mara moja tu, mara ya pili kauli ya Mukulu inahusika.[emoji85][emoji23] [emoji23] [emoji23] utii moyo wako uniache,maana kama kwa kukagua tu niliamka nikiwa hoi nikilima je?
Ngoja nizidishe maombi ukija leo utakutana na moto wa nguvu...[emoji4] [emoji4] [emoji4]Hahaha huwaga tunapewa ruhusa ya kumtetea mtu Mara moja tu, mara ya pili kauli ya Mukulu inahusika.[emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ngoja nizidishe maombi ukija leo utakutana na moto wa nguvu...[emoji4] [emoji4] [emoji4]
Jesus is my saviour and a friendNapita nikisalimu ila sio mkaaji
Jesus is my saviour and a friend
Leo umetokea japo naona kama Ban hivi inakuhusu
Mbona nimeandaa vinywaji vyako hapaNapita nikisalimu ila sio mkaaji
Jesus is my saviour and a friend
Mkuu leo naona mapema kabisa mpoHahaha huwaga tunapewa ruhusa ya kumtetea mtu Mara moja tu, mara ya pili kauli ya Mukulu inahusika.[emoji85]
Leo mapema kabisa[emoji23] [emoji23] [emoji23] utii moyo wako uniache,maana kama kwa kukagua tu niliamka nikiwa hoi nikilima je?
Naona wahusika mmetia maguuLeo umetokea japo naona kama Ban hivi inakuhusu