JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahaha inaonyesha hautambui uwezo na nguvu tulizonazo, hakuna umbali mrefu kwetu sekunde 30 tayari nishakufikia, sisi huwa tunapalilia kabla ya usiku wa manane na baada ya usiku wa manane (sijui ndo mnaita morning glory) kuoa au kuolewa na mwanga raha sana.
Kweli jana niliiona nguvu yenu,maana baada ya sekunde 30,nililala fofofo .....sijui ndo ulinipeleka shamani kwako [emoji15] [emoji15] [emoji15]

Kumbe ndo janja yenu...kupalilia ndoa kabla na baada ya usiku wa manane eeeh! [emoji12] [emoji12]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikupeleka tu kukagua utendaji kazi wa wengine, sijui kwanini kila nikitaka kukulimisha kamoyo kananiambia nikuache[emoji12] [emoji40]
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Nilikupeleka tu kukagua utendaji kazi wa wengine, sijui kwanini kila nikitaka kukulimisha kamoyo kananiambia nikuache[emoji12] [emoji40]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utii moyo wako uniache,maana kama kwa kukagua tu niliamka nikiwa hoi nikilima je?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] utii moyo wako uniache,maana kama kwa kukagua tu niliamka nikiwa hoi nikilima je?
Hahaha huwaga tunapewa ruhusa ya kumtetea mtu Mara moja tu, mara ya pili kauli ya Mukulu inahusika.[emoji85]
 
Ngoja nizidishe maombi ukija leo utakutana na moto wa nguvu...[emoji4] [emoji4] [emoji4]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unajua unavyoendelea kujifanya na maombi yako, tuko na wenzangu ni full vicheko, sababu radar inasoma imani hiyo huna,[emoji24]
Ungejua wenzangu wanavyokutamani[emoji39] Bila msaada wangu bibie utapata tabu sana.[emoji124]
 
Back
Top Bottom