Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Wamepotea sana leoWote chalii!
Naingia ng'we ya pili sasa sema huyu opponent wangu anacheza rafu nyingi sana!Wacha tutazame game tu
Wote chali duuuh![emoji23][emoji23]Wote chali leo humu
Mi nilikuja kutafuta mialiko ya kesho kumbe wote wamekimbia. [emoji23] [emoji23]Wote chali duuuh![emoji23][emoji23]
Pole sana[emoji23][emoji23][emoji23]sasa kwa hasira waalike woteMi nilikuja kutafuta mialiko ya kesho kumbe wote wamekimbia. [emoji23] [emoji23]
Pole sana asee, endelea kuvumilia...Mi nilikuja kutafuta mialiko ya kesho kumbe wote wamekimbia. [emoji23] [emoji23]
Sawa mkuu ngoja tusubiri
Comrade.....
Kweli mkuu, jamaa yule hana staha amesababisha watu wawili NAHUJA na sergio 5 wakala BAN..inahuzunisha sana, Comrade wapo waliodhani yule jamaa ni mimi aseehComrade.....
Naona umeamua kuwaachi wavamizi avatar yako...[emoji2] [emoji2]
Ila poa amigo, maisha lazima yaendelee
Alibakari naona umemaliza kifungu leo utaingia mzigoni