JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kumbe ndiomaana ng'aring'ari haziishi kunijia na kuong'oa bebezzz kama Le Mutuz...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Ndo ujue siku ukibadilisha hiyo avatar itakuwa ndo basi tena....itabaki stori tu [emoji4] [emoji4]
 
kuna demu wangu nilibahatika ku hack watsaap yake.... yaani nikikumbuka zile conversation huwa nacheka kama chizi tyu... jamaa na demu wangu full kutumiana hiyo emoji ya mwezi usiku wa manane na jamaa usiku huo huo alimula coz asubuhi yake nilikuta conversation wakipongezana kwa walichokifanya..... so hiyo emoji naichukia sana mkuu
Pole comrade una moyo kwel kusoma meseji za mwenzio
 
kuna demu wangu nilibahatika ku hack watsaap yake.... yaani nikikumbuka zile conversation huwa nacheka kama chizi tyu... jamaa na demu wangu full kutumiana hiyo emoji ya mwezi usiku wa manane na jamaa usiku huo huo alimula coz asubuhi yake nilikuta conversation wakipongezana kwa walichokifanya..... so hiyo emoji naichukia sana mkuu
Duhh.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ila poa tu Mkuu, wahenga tunasemaga......
Haina makombo....
 
kuna demu wangu nilibahatika ku hack watsaap yake.... yaani nikikumbuka zile conversation huwa nacheka kama chizi tyu... jamaa na demu wangu full kutumiana hiyo emoji ya mwezi usiku wa manane na jamaa usiku huo huo alimula coz asubuhi yake nilikuta conversation wakipongezana kwa walichokifanya..... so hiyo emoji naichukia sana mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hahahahaha imekukumbusha wapi hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Back
Top Bottom