Ndo ujue siku ukibadilisha hiyo avatar itakuwa ndo basi tena....itabaki stori tu [emoji4] [emoji4][emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12]
Kumbe ndiomaana ng'aring'ari haziishi kunijia na kuong'oa bebezzz kama Le Mutuz...[emoji13] [emoji13] [emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Pole comrade una moyo kwel kusoma meseji za mwenziokuna demu wangu nilibahatika ku hack watsaap yake.... yaani nikikumbuka zile conversation huwa nacheka kama chizi tyu... jamaa na demu wangu full kutumiana hiyo emoji ya mwezi usiku wa manane na jamaa usiku huo huo alimula coz asubuhi yake nilikuta conversation wakipongezana kwa walichokifanya..... so hiyo emoji naichukia sana mkuu
Father fatherAsantee [emoji120] [emoji120] Nimeshakaribia, wewe ndie mwenye kilinge?
Unapita wapi[emoji124] [emoji124] [emoji124] [emoji124]
Yap yap kamanda[emoji61] mwenyewe kk[ kichwa kichafu]Father father
Hahahahaha imekukumbusha wapi hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hiyo avatar yako inanikumbusha mbali sana mkuu.......imekaa kiuzinzi sana aisee
Mtoto mshuaHodiiiiii.......!!!!!!!!!
Duhh.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]kuna demu wangu nilibahatika ku hack watsaap yake.... yaani nikikumbuka zile conversation huwa nacheka kama chizi tyu... jamaa na demu wangu full kutumiana hiyo emoji ya mwezi usiku wa manane na jamaa usiku huo huo alimula coz asubuhi yake nilikuta conversation wakipongezana kwa walichokifanya..... so hiyo emoji naichukia sana mkuu
HahahahaWachawi hawa hapa
Nakuahidi sinto ibadilisha aiseee....[emoji12] [emoji12] [emoji12]Ndo ujue siku ukibadilisha hiyo avatar itakuwa ndo basi tena....itabaki stori tu [emoji4] [emoji4]
Hahahahah, a.k.a "DINGI"Mtoto mshua
Leo mapema kabisa mjengoniYap yap kamanda[emoji61] mwenyewe kk[ kichwa kichafu]
Naona, kama namba enzi za shule za msingi umewahiLeo mapema kabisa mjengoni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]kuna demu wangu nilibahatika ku hack watsaap yake.... yaani nikikumbuka zile conversation huwa nacheka kama chizi tyu... jamaa na demu wangu full kutumiana hiyo emoji ya mwezi usiku wa manane na jamaa usiku huo huo alimula coz asubuhi yake nilikuta conversation wakipongezana kwa walichokifanya..... so hiyo emoji naichukia sana mkuu
Hahahahaha imekukumbusha wapi hiyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unamfagio na kidumu cha maji hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Naona, kama namba enzi za shule za msingi umewahi
Yup yup captainHahahahah, a.k.a "DINGI"
vp kwema huko?? Captain
Mmmmh! Kilinge kina wenyewe hiki, mi sio mwenyekiti bali ni mlinzi wa zamu getini hapa![emoji12] [emoji12]Asantee [emoji120] [emoji120] Nimeshakaribia, wewe ndie mwenye kilinge?
Usiku mwema mkuuNaenda kubandika mbavu zangu hizi kwenye kamkeka niisubiri asubuh ifike mapambano yaanze upyaaaa
HahahahahaMmmmh! Kilinge kina wenyewe hiki, mi sio mwenyekiti bali ni mlinzi wa zamu getini hapa![emoji12] [emoji12]
Daah, acha tu ule ulikua unyanyasaji ukichekewa basi utachezea stiki unaweza taja jina la utoto la bib yakoUnamfagio na kidumu cha maji hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]