JamiiForums Usiku wa manane

Duhh.....[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Ila poa tu Mkuu, wahenga tunasemaga......
Haina makombo....
kiroho safi nilimwacha thou roho ilikuwa inaniuma kinouma.... now na mimi natafuna friends zake tu hakuna namna tena... mkuu
 
Safi,ila naona kwa kuwa wewe ni mgeni bado una nguvu za kutosha....nikuachie lindo mimi nikalale ntarudi saa 10 alfajiri kufunga geti! [emoji12] [emoji12]
Aah me si mgeni sema, sio mhudhuriaji. Mzuri humu sasa kampani ntakosa ndugu yangu
 
Dawa ni kuwanao wa3 kama mimi...[emoji85] [emoji85]
Ila kama wapo online saivi nitakoma...[emoji13]
[emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]
Wakati wewe unajiona mjanja kwa kuwa nao 3.....wao kila mmoja anao 10 pembeni yake wewe ni wa 11[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ndo unapojua kuwa ujanja kupata na sio kuwahi ....
 
Wakati wewe unajiona mjanja kwa kuwa nao 3.....wao kila mmoja anao 10 pembeni yake wewe ni wa 11[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapo ndo unapojua kuwa ujanja kupata na sio kuwahi ....
Kwakua mimi ni muhenga.....
Nasemaga hamnaga makombo...[emoji12] [emoji12]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…