JamiiForums Usiku wa manane

Yaani acha tu. Nakuwa nachoka kwa pilika pilika za mchana,so najitahidi kuwahi kupumzika. Huwezi amini naingiaga kitandani Saa 4ili niwahi kulala,nashtukia nafika mpaka Saa saba nazurula jf[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukifungua jf haiwezi kukuacha salama wangu salama yako usichungulie kabsaaa

Rafiki anaendeleaje?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…