JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Yaani acha tu. Nakuwa nachoka kwa pilika pilika za mchana,so najitahidi kuwahi kupumzika. Huwezi amini naingiaga kitandani Saa 4ili niwahi kulala,nashtukia nafika mpaka Saa saba nazurula jf[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ukifungua jf haiwezi kukuacha salama wangu salama yako usichungulie kabsaaa

Rafiki anaendeleaje?
 
3869.jpg
Aisee keshajichokea huyo mbaya zaidi hafi ng`o
 
Back
Top Bottom