JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Aisee! Mna kelele humu,mpaka nimeamka yaani Haya tuendelee sasa
 
Sina usingizi nimepigiwa simu na jamaa anaomba nimkope laki saa 8 usiku, kwa bondi ya HDD ya 1TB sijui bangi hizi yani dah!
 
Mmmh laki ya ghafla hivo?
Me Jana mtu et a ataka 10000,
Nikamwambia nipo nje ya nchi kaka.
 
  • Thanks
Reactions: me1
Back
Top Bottom