dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,702
- 20,134
[emoji13] [emoji13] na mwaliko inna hajakupa ila ujue sikuhizi taarifa unatoa mapema mambo yamebadilikaMdo mdo tu mkuu tupo tunang'aa sharubu kama za paka tu na Eid hii.
Kweli ila wenzetu wanasema ukilala sana utakuwa maskin sasa sijui hiyo kauli ina ukwel ndan yake au laComredi maisha haya hutakiwi kujitesa kabisa,
Muda kama huu inabidi ukae upumzishe akili.
Kweli ila wenzetu wanasema ukilala sana utakuwa maskin sasa sijui hiyo kauli ina ukwel ndan yake au la
Kila sehem wamebana [emoji1] [emoji1] [emoji1][emoji13] [emoji13] na mwaliko inna hajakupa ila ujue sikuhizi taarifa unatoa mapema mambo yamebadilika
Naziona sana. Na Mimi ndio inakuwaga mida yangu ya kuangusha jumba bovu hapo[emoji23] [emoji23] [emoji23] mii hua napitaga kimya nikiwa mchovu au huonagi nyayo zangu?
Jana hata nyao zako sikuziona mkuuNdomanake nakutaga nyayo tu wote mshapita ha ha haaaa
Hahaha dadek nimecheka kidogo tupaje ajali na mwanga mwenzangu
Cc:jpm sikia kilio cha watz hukuKila sehem wamebana [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Mkuu wewe utakuwa Bachelor aisee!
Huwezi kugoma hivi wikendi bwana!
Mkuu unajali afyaComredi maisha haya hutakiwi kujitesa kabisa,
Muda kama huu inabidi ukae upumzishe akili.
Huyu mzee kakufanyaje mbona ulipotea ghafla ujio wake?Naziona sana. Na Mimi ndio inakuwaga mida yangu ya kuangusha jumba bovu hapo
Hiyo nayo point unakuwa na hela ila huishi kwa raha dunia hii banaKinachoondoa Umasikini duniani ni kutumia vipaji vyako kwa bidii na kukomboa muda.
Kwasababu unaweza ukawa unalala masaa mawili unapata pesa kibao lakini hazikupi raha wala hupati muda kuzitumia,
Hii ndiyo aina mbaya ya Umasikini kuliko zote.
Mkuu unajali afya
MkuuHellook