JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Atapata na msiba juu huyu

[emoji23] [emoji23] [emoji23] umeniona eee Inabidi tugeuze mbinu hakuna namna
Nimekuona... haya bhana ngoja nikuache na Maserati wako muendelee kuamsha popo
cute.jpg
 
Kweli ila wenzetu wanasema ukilala sana utakuwa maskin sasa sijui hiyo kauli ina ukwel ndan yake au la

Kinachoondoa Umasikini duniani ni kutumia vipaji vyako kwa bidii na kukomboa muda.
Kwasababu unaweza ukawa unalala masaa mawili unapata pesa kibao lakini hazikupi raha wala hupati muda kuzitumia,
Hii ndiyo aina mbaya ya Umasikini kuliko zote.
 
Hiyo nayo point unakuwa na hela ila huishi kwa raha dunia hii bana
 
Back
Top Bottom