Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Pamoja mkuu.Ha ha haa yeye keshapotea mii ngoja ntoke kidogo baadae kidogo
Jirani yangu tabia ya kunipiga chabo umeacha, sasa wazungumzia huruma ahahahaaaaaa uwiii you're not my jirani, can't believe thisNiupatie wapi jirani.
Nasubiri huruma yako tu[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kama kawaida
Jirani sijui nini kimenikuta nimejikuta nimeshafunguka. [emoji19] [emoji19]Jirani yangu tabia ya kunipiga chabo umeacha, sasa wazungumzia huruma ahahahaaaaaa uwiii you're not my jirani, can't believe this
Bila shaka ndo unaamka saa hizi [emoji12] [emoji12]Jirani moyo unabubujika furaha kukuona
Jitenge kidogo, alafu nyoosha mikono juu kama mwendo wa mateka nikikuona nijue ni wewe [emoji23][emoji23][emoji23]Huku mchafukoge [emoji13] [emoji13] [emoji13] ...sikuwa na pesa ya kuingia vip mkuu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Uko huko nn ?! Maana mie nipo huku nyuma...Jitenge kidogo, alafu nyoosha mikono juu kama mwendo wa mateka nikikuona nijue ni wewe [emoji23][emoji23][emoji23]
Hapana mkuu ndio naingia kitandani hapa baada ya mizunguko mingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Bila shaka ndo unaamka saa hizi [emoji12] [emoji12]
Sikuamini amini![emoji12] [emoji12]Hapana mkuu ndio naingia kitandani hapa baada ya mizunguko mingi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Okey nimekusamehe jirani yanguJirani sijui nini kimenikuta nimejikuta nimeshafunguka. [emoji19] [emoji19]
Jirani sio mimi aiseeh
Nimetoka kidogo ila nitarudi kwa ajili yako
Kama kawaida
Mkuu huko ndio asubuhi?Sikuamini amini![emoji12] [emoji12]
Ndio maana nakupenda.Okey nimekusamehe jirani yangu
Usiku mnene kabisa....Mkuu huko ndio asubuhi?
01:51Usiku mnene kabisa....
Amen!Namshukuru Mungu kwa akili yenu...stay blessed friends...Mungu atutangulie mawazo ...maneno ...vitendo vyetu na wajibu pia japo siku ishaanza lakini bado mpya ...awarehemu na wenzetu wenye maumivu ya rohoni na ya kimwili...nawatakia nyote usiku mwema tubaki chini ya ulinzi wake Wa amani na upendo tukijitahidi kuwa waaminifu kwake...amen
Thanks mazee na usiku mwema
carnte himself