JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hiloo la msingi sana...ila Mungu katupa akili...
Kuna mtu anatafuta demu kwa sababu kashikwa na migenye siku nyingi...mwingine kwa sababu rasmi amesema natafuta mke...mwingine for show of...hao wote ni rahisi kukutwa na hayo

Your real love ...lazima kwanza awe alishakuwa rafiki yako...hata kama alikuomba no kwenye daladala...kabla hata ya kuingia deep in rltshp you shld yet ve started learning how to miss each other

carnte himself
Nina rafiki yangu ana mke mzuri kama malaika, yeah nakiri ni mzuri sana....lakini ana roho mbaya kuliko shetani. Hiyo roho aliionesha baada ya ndoa! Ndoa yenyewe ya kikristo.

Hakuna ujanja katika hilo,mwombe Mungu akuongoze kumpata mbora wako.
 
Amina nna experience na hilo ...samahani.."hivi wanawake warembo kwa muonekano there there not for marriage au.."

carnte himself
 
Back
Top Bottom