spade4spade
JF-Expert Member
- Jun 5, 2014
- 2,207
- 2,156
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka uje uigundue hiyo roho yake mbaya ...ushaumia vya kutosha! Hata ukitoka,unaondoka na makovu yakukutosha tuAcha woga...kwani roho mbaya anakuwa amekufunga kamba
carnte himself
Mii mzima khofu kwako tuPoa mzima wewe
Sijamficha ana majukumu ya kulea kibendi chake tu ndo yanamkeep busySawa japo na kwenyewe kuna kamuda kidogo.
Umemficha eeh?
Wewe mwenyewe umeonyesha sura tu na kupotea sijui upo pande zipi?Leo wamegoma aiseeh
Aisee ata mm naona jiran yako kawa kuku leoLeo wamegoma aiseeh
Icho kibendi cha kulea usiku kipoje hicho na iweje yeye na si aliekibeba?Sijamficha ana mjukumu ya kulea kibendi chake tu ndo yanamkeep busy
Kujiendekeza tuu mkuuMpaka uje uigundue hiyo roho yake mbaya ...ushaumia vya kutosha! Hata ukitoka,unaondoka na makovu yakukutosha tu
Sawa....ila omba Mungu yasikukuteKujiendekeza tuu mkuu
carnte himself
Si unajua tukivibeba tunavojua kudeka...sahv lazima amkumbatie bibie sasa cm atashika sa ngapiIcho kibendi cha kulea usiku kipoje hicho na iweje yeye na si aliekibeba?
Niambie best
Mwambie awe makini asije ongeza kingine pembeni[emoji23] [emoji23] [emoji23]Si unajua tukivibeba tunavojua kudeka...sahv lazima amkumbatie bibie sasa cm atashika sa ngapi
Nimefurah kukuona bestMii mzima khofu kwako tu
Bwana, leo nimesahau dawa ya mbu wananilaje!Niambie best
Mambo vipi aiseeh
Pamoja bestNimefurah kukuona best
Nipo hapa live band naona mizinguo tuuWewe mwenyewe umeonyesha sura tu na kupotea sijui upo pande zipi?
[emoji23][emoji23][emoji23]Aisee ata mm naona jiran yako kawa kuku leo
kichwa kichafu[emoji23]
Pande zipi hizo kokea vinywaji utaona poa tuNipo hapa live band naona mizinguo tuu