JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Si unajua tukivibeba tunavojua kudeka...sahv lazima amkumbatie bibie sasa cm atashika sa ngapi
Mwambie awe makini asije ongeza kingine pembeni[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Hiloo la msingi sana...ila Mungu katupa akili...
Kuna mtu anatafuta demu kwa sababu kashikwa na migenye siku nyingi...mwingine kwa sababu rasmi amesema natafuta mke...mwingine for show of...hao wote ni rahisi kukutwa na hayo

Your real love ...lazima kwanza awe alishakuwa rafiki yako...hata kama alikuomba no kwenye daladala...kabla hata ya kuingia deep in rltshp you shld yet ve started learning how to miss each other

carnte himself
 
Back
Top Bottom