JamiiForums Usiku wa manane

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huyu jirani kiboko, embu msindikize akapewe nakoz akili imkae sawa
Ohoooh nakoz tena, ila nimesikia jirani yako ana mbinu, amesema akimkuta shemeji anabadilisha mada anamwambia mchana ulilala kwenye gesti yake kaja kudai hela yake[emoji40] (nshatoa siri tena)[emoji125] [emoji125]
 
Atamshangaa maana nipo mkoani kikazi, hapo ndipo atapigwa vzr, na anamjua shemeji alivyo na mabavu utadhan ni mlinzi wa kumbi za starehe [emoji26]
 
[emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119][emoji119]

*Akifa shekhe kazi ya Mungu*
*Akifa mlevi sababu ya Pombe*
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Dirty Head kikombe cha maji usiku huu, hapa naona unataka kusababisha kesi sio bure[emoji40] ila mkuu ukienda nishtue nikusindize na mimi nipajue kwa jirani yako[emoji12] [emoji85]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Jirani yangu nitakupeleka ila utaishia kwenye pango la kale kwa jirani nitaenda mwenyewe
 
Atamshangaa maana nipo mkoani kikazi, hapo ndipo atapigwa vzr, na anamjua shemeji alivyo na mabavu utadhan ni mlinzi wa kumbi za starehe [emoji26]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Weeeh hujajua hata uwe baunsa kiasi gani ukipata habari za ubavu wako kuchepuka unavyonyong'onyea (hata kama ni uongo).[emoji12] Huyo baunsa dawa yake kiwembe tu[emoji40] [emoji125]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…