Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Sio kwa uwoga huo kijana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sio kwa uwoga huo kijana
Nitabadilika mchepuko yote imeniacha mifuko wazi wameniibia hadi shuka.Ngoja tuone mwenendo wako kama utabadilika
Inna alikuwa anakutafuta sana jana sijui mlionana au?Jirani ndio maana nimewahi hapa jana mh! "
Mchepuko imeniibia kila kitu wameniachia vijiko tu sijui keshk nitapikaje jiraniAah umeniudhi sana jana
Sijaonana nae heri atokee nimpe mkasa huuInna alikuwa anakutafuta sana jana sijui mlionana au?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nitabadilika mchepuko yote imeniacha mifuko wazi wameniibia hadi shuka.
Hapa nawaza kuja kuazima hapo jirani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bora wamekukomesha hope utatulia sasaMchepuko imeniibia kila kitu wameniachia vijiko tu sijui keshk nitapikaje jirani
Shhhhhhhh! Chekea kifuani, saivi ucku! Nimesikia kishindo ka cha paka, nadhani wako kule out wananyata![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atakuja tuu, ngoja na yeye amalizane na mchepuko wake, siunajua kutesa kwa zamu kuwa mpole tuuSijaonana nae heri atokee nimpe mkasa huu
Umenichekesha sana aiseehShhhhhhhh! Chekea kifuani, saivi ucku! Nimesikia kishindo ka cha paka, nadhani wako kule out wananyata!
Sent using Jamii Forums mobile app
Haya majanga jirani wa pekee ndie utaweza nisaidia.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Kazi ninayo kwa jirani yangu, embu nenda kwa Inna
Dogo nimekufuataHaya majanga jirani wa pekee ndie utaweza nisaidia.
Sijaamini kabisa wameiba hadi mapambo wanaacha vijiko tena vya plastic hawa hawana huruma kabisa
Sasa nitatulia kwa mawazo.Bora wamekukomesha hope utatulia sasa
Hii sio fair kabisa jirani si unajua mimi na wivuAtakuja tuu, ngoja na yeye amalizane na mchepuko wake, siunajua kutesa kwa zamu kuwa mpole tuu
Nakuja nisubiri basiDogo nimekufuata
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Sasa nitatulia kwa mawazo.
Maana wameiba hadi funguo za mlango[emoji22] [emoji22]
Ooh pole sana jamaniHii sio fair kabisa jirani si unajua mimi na wivu
Wametia shida si kutulizana.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]