Emmanuel S Jonathan
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 379
- 278
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Mi sahv niko job, nachunga ugali wangu, nimepitia mara moja tu[emoji23] [emoji23] [emoji13] [emoji13]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli aisee we kibokoNani alale thubutu we ndo mhenga wa dk 25
Mkuu leo mbona umewahi hivi
Mapema nakusubiri hapaLeo naona umekua kuku
Mi masuala ya kudulana marisasi siyataki bhana!Mkuu leo mbona umewahi hivi
Michepuko imeniacha yote siku moja jirani.Mie mzima mamii, jirani yangu kichwa kichafu michepuko itammaliza na nimetoka mshauri jioni hii ila haelewi kabisa, kweli nimeamini muonja asali huchonga mzinga.
Nakusubiri[emoji3] [emoji3] [emoji3]
Cc kichwa kichafu popote ulipo
Imekibidi ukimbilie huku mapema kabisa
Mi leo nazima taa mapemaaa!Imekibidi ukimbilie huku mapema kabisa
Hahaha
Ngoja tuone mwenendo wako kama utabadilikaMichepuko imeniacha yote siku moja jirani.
Naanza kutulia kabisa jirani[emoji23]
Jirani ndio maana nimewahi hapa jana mh! "Aah umeniudhi sana jana