Mbona kimya kimya?[emoji89][emoji88][emoji188]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaaa.....angalia usijejing'ata huo ulimi wako tu πππ
asantee bundi Thad..:-DKaribu bundi mwenzetu ππππ
Msalimie na yeyeWifi yenu anawasalimia wote
Bundi mwenzetu hapo anamaanisha anapita anaenda kuwanga atarudi badae.[emoji125]Mbona kimya kimya?
Usiku huu wa masaba waenda wapi peku peku nikusindikize bibie[emoji6] [emoji39] [emoji40][emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
Humtendei haki,yaani badala ya kumkumbatia muda huu we unazurura jf kweli? Anyway mpe hiWifi yenu anawasalimia wote
Kama unangoja kuota meno ndo ujue umekua,utasubiri sana ππππ Tangu lini bundi akaota meno?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bundi Thad bhana, mimi ni bundi mdogo bhana sina meno[emoji12]
Naenda kulalaUsiku huu wa masaba waenda wapi peku peku nikusindikize bibie[emoji6] [emoji39] [emoji40]
Usiogope huku hakunaga makelele sana,tunaogopa kuwaamsha walolala tusije tukalala sie....asantee bundi Thad..:-D
japo naona kama kunataka kupooza hivi
mbona mapema sana?Naenda kulala
Hahahaaaaa.........ni vyema akatuaga ili mambo yakimchachia huko tujue pa kumtafutiaBundi mwenzetu hapo anamaanisha anapita anaenda kuwanga atarudi badae.[emoji125]
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Naenda kulala