Arien
JF-Expert Member
- Aug 29, 2017
- 11,245
- 11,767
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona kimya kimya?[emoji89][emoji88][emoji188]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hahahaaaaa.....angalia usijejing'ata huo ulimi wako tu 🙂🙂🙂
asantee bundi Thad..:-DKaribu bundi mwenzetu 🙂🙂🙂🙂
Msalimie na yeyeWifi yenu anawasalimia wote
Bundi mwenzetu hapo anamaanisha anapita anaenda kuwanga atarudi badae.[emoji125]Mbona kimya kimya?
Usiku huu wa masaba waenda wapi peku peku nikusindikize bibie[emoji6] [emoji39] [emoji40][emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
[emoji188]
Humtendei haki,yaani badala ya kumkumbatia muda huu we unazurura jf kweli? Anyway mpe hiWifi yenu anawasalimia wote
Kama unangoja kuota meno ndo ujue umekua,utasubiri sana 🙂🙂🙂🙂 Tangu lini bundi akaota meno?[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Bundi Thad bhana, mimi ni bundi mdogo bhana sina meno[emoji12]
Naenda kulalaUsiku huu wa masaba waenda wapi peku peku nikusindikize bibie[emoji6] [emoji39] [emoji40]
Usiogope huku hakunaga makelele sana,tunaogopa kuwaamsha walolala tusije tukalala sie....asantee bundi Thad..:-D
japo naona kama kunataka kupooza hivi
mbona mapema sana?Naenda kulala
Hahahaaaaa.........ni vyema akatuaga ili mambo yakimchachia huko tujue pa kumtafutiaBundi mwenzetu hapo anamaanisha anapita anaenda kuwanga atarudi badae.[emoji125]
[emoji39] [emoji39] [emoji39]Naenda kulala