Nleterewa Nganengo
JF-Expert Member
- Oct 11, 2016
- 5,007
- 11,316
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Kama unangoja kuota meno ndo ujue umekua,utasubiri sana 🙂🙂🙂🙂 Tangu lini bundi akaota meno?
We si uko zamu leo waenda wapi tena? Mwache akalale kesho zamu yake[emoji39] [emoji39] [emoji39]
Hata mimi nahisi nina kausingizi ngoja nikuwahi tuende wote[emoji125] [emoji125] [emoji85] [emoji12]
Half time bwana.Humtendei haki,yaani badala ya kumkumbatia muda huu we unazurura jf kweli? Anyway mpe hi
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nimesikia yuko maeneo ya Lusaka na wenzake wanaelekea South Africa na magoti kuomba msamaha [emoji40] [emoji125]
Unasom na jf unazama we disco inakuhusuMmmmhh mi nasoma kesho nina Mtihani nazani stress inanihusu. Maisha ya chuo walisema bata ila sio kwa course za afya.
course za afya hazijawahi muacha mtu salama. Nipo hapa napambana na hali yangu.
Maombi yenu wakuu nifanye vyema.
Bachelor in Nursing . God bless my career. Amina.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahaha Niko namcheki kwa radar zangu yuko salama.Hahahaaaaa.........ni vyema akatuaga ili mambo yakimchachia huko tujue pa kumtafutia
Hahahaaaaa.....kumbe mechi itaendelea? Naomba nije niwe refariiiii wa kipindi cha piliHalf time bwana.
JF siwezi kuiacha afe kipa afe beki.
Hahaha bibie ana matatizo ya kushtuka shtuka na kupiga yowe akilala peke yake[emoji12] wacha nikamwekee kaulinzi kidogo[emoji85] [emoji125]We si uko zamu leo waenda wapi tena? Mwache akalale kesho zamu yake
Hahaha na kweli[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mie sitii neno hapo, mambo ya wapendanao hayatabiriki banah
kabisaa yaniUmeona eeh
We bora ubaki najua hutachelewa kumpa bibie Red Card ili mbaki na striker peke yenu[emoji12] [emoji40]Hahahaaaaa.....kumbe mechi itaendelea? Naomba nije niwe refariiiii wa kipindi cha pili
hahahaha naona unataka uhakikishe game inakua na fair playHahahaaaaa.....kumbe mechi itaendelea? Naomba nije niwe refariiiii wa kipindi cha pili
afu inaweza kuwa kweli hii lolWe bora ubaki najua hutachelewa kumpa bibie Red Card ili mbaki na striker peke yenu[emoji12] [emoji40]
Hahaha Bundi Thad janja sanaafu inaweza kuwa kweli hii lol
labda kaona noma kusema moja kwa moja akaona inafaa apitie mgongo wa kuwa refa hahahaHahaha Bundi Thad janja sana
Hahaaaaaa sina mtima nyongo kiasi hicho.....after all "Moyo wangu sultani cha mtu sitamani"We bora ubaki najua hutachelewa kumpa bibie Red Card ili mbaki na striker peke yenu[emoji12] [emoji40]
Hahaha ngoja nipite kimya, [emoji125] [emoji125] [emoji40] [emoji40]labda kaona noma kusema moja kwa moja akaona inafaa apitie mgongo wa kuwa refa hahaha
Haswaaaaa wewe umenielewa vyemahahahaha naona unataka uhakikishe game inakua na fair play
Hahaha wacha weeeh, usiwasikilize wahenga hakuna cha mtu duniani ujue[emoji12] [emoji40]Hahaaaaaa sina mtima nyongo kiasi hicho.....after all "Moyo wangu sultani cha mtu sitamani"