JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Kama unangoja kuota meno ndo ujue umekua,utasubiri sana 🙂🙂🙂🙂 Tangu lini bundi akaota meno?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kumbe hua hatuotagi meno, ngoja nije unipe mbinu za kugundua kama nimekua[emoji12] [emoji125]
 
Mmmmhh mi nasoma kesho nina Mtihani nazani stress inanihusu. Maisha ya chuo walisema bata ila sio kwa course za afya.

course za afya hazijawahi muacha mtu salama. Nipo hapa napambana na hali yangu.
Maombi yenu wakuu nifanye vyema.
Bachelor in Nursing . God bless my career. Amina.

Sent using Jamii Forums mobile app

Unasom na jf unazama we disco inakuhusu
 
Back
Top Bottom