Sawa shemnalala ndani ya dakika kumi zijazo shem
jje's karibu usiku usikuni.Helo members wa uchiku
Huamin au?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]Ulivo sisitiza kuwa huna mwingine & hutamani mwingine
Hamna wa kunificha mkuuJana hukuonekana kilingeni........sijui alikuficha nani?
jje's yupo imara kweli?Hakika leo niko IMARA
Huyu kichwa kichafu atamudu kweli?
Naamini ila sio kwa msisitizo huo[emoji52]Huamin au?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]
Ngoja lindo tuhakikishe usalamaHello.........karibu sana. Nakukabidhi lindo leo,wewe na Kichwa Kichafu
Hunter hunter
Na kucha zake za bandiaKumekucha
KaribuWengine ndo kwanza tumeamka sasa
Teh teh tehNafurahi kukuona imara, bila shaka kwa uimara huo utamfanya Kichwa Kichafu amudu
Nahisi amelalaSimuoni kichwa kichafu japo naona akichabo na kuondoka
"Bundi Thad"Popo washalala,huu ni muda wa bundi
Nuipfo mshiki, nku odekieHelo members wa uchiku
Mimi hapa!"Bundi Thad"
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Mimi hapa!
Jana mlibaki mnanisengenya eeeh............! πππ
JamaniiiiiiNaamini ila sio kwa msisitizo huo[emoji52]
Nilikuwa nimuulize kama ameota[emoji38]Nahisi amelala