Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Huyu Thad leo nahisi anisaidie na wewe piaUsiogope ujue tumepewa kazi ya lindo
[emoji87]
Anajifanya mjanja...........bora angenambia hana hela ningemwelewa sio kwa fix hiziChezea usawa wa Pombe kununua pombe lazima mtu aokoke kwa masaa
oooooyoWWoyooooo
Njoo nikununulie bibieAnajifanya mjanja...........bora angenambia hana hela ningemwelewa sio kwa fix hizi
Kama hakuna kigaloni pembeni ka maji ka kupunguzia kiu ikizidi[emoji85] (itakua naota)Uone ninin
Sasa mkuu?
Nimekununulia ukipendacho leo nisaidieAkuu...mi zamu yangu ilikuwa jana. Kwaherini hangaikeni na lindo lenu mi nalala zangu
Bar zishafungwa utanunua wapi?Njoo nikununulie bibie
Vipi headoooooyoW
Nilinunua mda tu nahisi ni coincidence nayo imenikutanisha nawe.Bar zishafungwa utanunua wapi?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Chezea usawa wa Pombe kununua pombe lazima mtu aokoke kwa masaa
Si poa Sakayo nahisi keyboard imekimbia na herufi zote(usingizi) [emoji23]Vipi head
Mwambie ajue mie mchaga nitaanza toza malipo. Anashauriwaje mara 2 haelewi? Temana naeFursa bado kama ideal hivi anataka aibadili iwe real mpe ushauri tena.
Ohoooh basi bibie nipunguzie basi adhabu angalau iwe balimi nusu kreti hali ni ngumu sana ujue[emoji24]Naona unaleta usanii kwenye jumba la sanaa..........Kuanzia sasa usiniongeleshe tena 😡😡😡
Utampoteza kijana huyuMwambie ajue mie mchaga nitaanza toza malipo. Anashauriwaje mara 2 haelewi? Temana nae
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125]Anajifanya mjanja...........bora angenambia hana hela ningemwelewa sio kwa fix hizi
Best naomba nikuachie kijitiWoyooooo
Sakayo tunakukabidhi kijiti maana keyboard yako mpaka sasa herufi hamna.Hata mmi naona nasinzia kidogo
Ngoja nimpokeze best yangu kijiti