Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Thad......!Mimi hapa!
Jana mlibaki mnanisengenya eeeh............! 😉😉😉
Ni iha kikeri mono amaNuipfo mshiki, nku odekie
Ili nikusamehe itabidi uninunulie kreti 2 za safari,yule mwenzio aninunulie beberu la mbuzi.......[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Sio mimi bibie ni [emoji482] [emoji482] na shetani alinipitia, mimi wala sio msengenyaji[emoji85] [emoji40]
Itakuwa anaota wet dream huko. [emoji23] [emoji23]Nilikuwa nimuulize kama ameota[emoji38]
Mimi siamini, mpaka nione (mimi ni kajukuu ka Thomaso)Huamin au?[emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji12]
Hahahhahaha afadhali hizo wet dream zifanyiwe kazi mara moja. MshauriItakuwa anaota wet dream huko. [emoji23] [emoji23]
Hamna pesa rahisi kiivyo mkuu.Naona hii link imesambaa sana hivi ni kweli
Viewing payed advertising sites webmoney.host - Welcome!
Nafurahi kusiki hivyo kama usalama upoMr kuna kitu ameniomba mara moja mkuu ucjali nimerudi
Ushairi umefika changamoto anayopata ni sehemu pakufanyia kazi.Hahahhahaha afadhali hizo wet dream zifanyiwe kazi mara moja. Mshauri
Umeanza kunitisha kwa uimara huoHaswaaa uliza swali lingine
Hahaha bibie ujue kumpa mtu kilevi dhambi, alafu nilisahau kukutaarifu nimeokoka kuanzia saivi[emoji40] [emoji125]Ili nikusamehe itabidi uninunulie kreti 2 za safari,yule mwenzio aninunulie beberu la mbuzi.......
Uone nininMimi siamini, mpaka nione (mimi ni kajukuu ka Thomaso)
Upo kabisaNafurahi kusiki hivyo kama usalama upo
Hahahahhahaha wewe mshauri mwambie nimesema aache kuwaza changamoto atumie fursa iliyopoUshairi umefika changamoto anayopata ni sehemu pakufanyia kazi.
Usiogope ujue tumepewa kazi ya lindoUmeanza kunitisha kwa uimara huo
Chezea usawa wa Pombe kununua pombe lazima mtu aokoke kwa masaaHahaha bibie ujue kumpa mtu kilevi dhambi, alafu nilisahau kukutaarifu nimeokoka kuanzia saivi[emoji40] [emoji125]
Fursa bado kama ideal hivi anataka aibadili iwe real mpe ushauri tena.Hahahahhahaha wewe mshauri mwambie nimesema aache kuwaza changamoto atumie fursa iliyopo
Naona unaleta usanii kwenye jumba la sanaa..........Kuanzia sasa usiniongeleshe tena 😡😡😡Hahaha bibie ujue kumpa mtu kilevi dhambi, alafu nilisahau kukutaarifu nimeokoka kuanzia saivi[emoji40] [emoji125]