JamiiForums Usiku wa manane

Mida ya kuchati na popo wenzangu. Kupitia unread thread za mchana
 
Ili ukeshe bila tabu, ni kuwa na tumbo la kuhara
 
Jirani kaja mida hii kawasha kiredio chake sautii kubwaaa, mpaka nimeamka, kuamka nasikia tena jirani mwingine wanakwichikwichi +Kitanda Chao kina makelele.wanaona hata aibu.uswahilini ni raha na karaha
 
[emoji35]
 
Nimemaliza kuandika na kupost article mbili fupi mahala nikaona niptiie JF ndio naukuta uzi huu. Ila kukesha mpaka asubuhi humu kwa leo sitaweza. Hongera yako! Ila wale wanaokunywa bia na kisha kupost humu saa hizi huenda wakaandika wasiyokusudia.
 
nimi nipo tu macho.., embu niambieni chochote sasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…