JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

[emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144] [emoji144]
 
Tupooooooooooooooooooooo! Karibu napata msosi saa hizi....Si unajua njaa ya night,nimedamkia Jikoni.
 
29b3c6fd287647e7c17266c1d4436c08.jpg
 
Tupooooooooooooooooooooo! Karibu napata msosi saa hizi....Si unajua njaa ya night,nimedamkia Jikoni.
Teh teh teh teh, ahsante mkuu me nimetoka kushtua muda si mrefu aiseh ila haka kabaridi nadhani na mimi nitaparamia sufuria muda si mrefu 🙂 🙂
 
Teh teh teh teh, ahsante mkuu me nimetoka kushtua muda si mrefu aiseh ila haka kabaridi nadhani na mimi nitaparamia sufuria muda si mrefu 🙂 🙂
Njaa Ya Usiku Noma Sana, Hukawi Kuangusha Masufuria Jikoni Hahahahaaa
 
[emoji524] ZABURI 4

8 Katika amani nitajilaza na kupata usingizi mara,Maana wewe ,BWANA .peke yako Ndiye unijaliaye kukaa salama

MBARIKIWE[emoji120]
 
Nimesali Rozari ya Huruma. Kisha namsikiliza Mbazigwa Hassan. Aliyepo macho tupige story
 
Back
Top Bottom