Umeona sasa kumbe natokea ukiwa ushalala sijapotea mimiKapotea kabisa huwa anakuja late mno kugonga likes tuu [emoji23][emoji23][emoji23] Yaan anavituko huyo basi tuu.
Vile kesho j 2 ha ha haaa sijawahi dekewa sijui ntaweza au ntaharibuuuLeo akija kugonga like atanikut hapa.
Lazima nimdakee
Ushalala na viatu mkuu?Leo akija kugonga like atanikut hapa.
Lazima nimdakee
Asante MLAisee wewe mtu pole kwa kupotea
Asante sana once againMmm pole kwa kulala na njaa
Hahahahahha ningekudakaaaMara paaaap sijapotea mpendwa popo mkuu
Bando mkuu lilikataUshalala na viatu mkuu?
Kumekucha bhanaa tuhameBando mkuu lilikata
Nimekumiss pia saanaaa rafik angu
Mbona ndo kwanza mda una anza watakuja tu.Leo naona mpaka Bundi wamesinzia, Kiranja mkuu Fanya mpango tufanye tambiko la nungunungu kuiondoa hiyo hali.
Hahaha nilitaka kushangaa mpaka popo mfungua makomeo kapitiwaMbona ndo kwanza mda una anza watakuja tu.