JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Hahahaahahhaaa i am the last man standing in jf hahahababahahahahahahahahaaaaaaaa niliiisubili miaka alf nane hii siku kuona wana jf wote wamelala na mm nacoment
 
Plz msikoment nataka nijiaminishe hilo najua kuna mijitu mengine hamjalala either kwa stress au kwa vile mna tabia mbaya ya kuchelewa kulala plz lalen msikoment
 
Naona hatujalala tunapeana madongo tu apa. Niko zangu sebleni na smartphone yangu.[emoji34] [emoji34] [emoji34]
 
Nimeota mida hii.....Kiongozi mmoja (mkubwa) wa kisiasa ameaga Dunia...
 
Back
Top Bottom