JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Emu njoo huku kaskazini mahaba na blanket yataongezeka tu.

Ila huko kiubaridi mpaka kije ni nadra...unajikuta mwezi mzima mtu unalala tuyuu. Raha sana kulala tuyu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nitamshawishi pasua kichwa wangu..tujege uko kaskazini πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Back
Top Bottom