JamiiForums Usiku wa manane

Alafu Mimi na blanket au hata shuka Ni vitu viwili tofauti..najifunikaga Basi tu wakati wa kiubaridi ila sipendi
Emu njoo huku kaskazini mahaba na blanket yataongezeka tu.

Ila huko kiubaridi mpaka kije ni nadra...unajikuta mwezi mzima mtu unalala tuyuu. Raha sana kulala tuyu
 
Emu njoo huku kaskazini mahaba na blanket yataongezeka tu.

Ila huko kiubaridi mpaka kije ni nadra...unajikuta mwezi mzima mtu unalala tuyuu. Raha sana kulala tuyu
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nitamshawishi pasua kichwa wangu..tujege uko kaskazini πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…