Umeona eeh..........maana wanaume wenyewe wa humu wote walikuwa wamelala fofofoBora hata maana tungevamiwa, si jambo jema kulala geti wazi
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Hahahhahahaha naona unataka kutumia fursa
[emoji102]
[emoji7] kukuonaUmeona eeh..........maana wanaume wenyewe wa humu wote walikuwa wamelala fofofo
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Niliishtukia hiyo janja ya nyani
Sina cha kueleza kwa furaha ya kukuonaAsante kwa kunimiss mwaya, soi kama Nleterewa Nganengo aliyefurahia kutokuwepo kwangu...........
[emoji125] [emoji125] [emoji125]We popo.............ndo maana siku ile mkatuachia geti wazi; wewe na mwenzio Kichwa Kichafu
Nani huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]Hivi unakumbuka kesi inayokukabili?
Karibu uwanjani............[emoji7] kukuona
Na sikumbuki nini kilitokeaHebu muulize walienda wapi?
Na kwanini waondoke paap kwa pamoja wakaacha geti wazi? (Mimi sijauliza kitu)[emoji40] [emoji125]
[emoji23]Hilo swali atalijibu Kichwa Kichafu,maana bibie anadai hakumbuki kabisa kilichotokea...........alijikuta tu kalala fofofo
Jirani umerudi nije kukusalimia??
Wewe hapoNani huyo[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Asante japo napitaKaribu uwanjani............
Anza kumhoji Kichwa Kichafu kajileta leo[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Bibie huu uchochezi sasa[emoji39] [emoji40]
Niko hapa bibie, sema Leo naona bawaba za macho zimelegea sana[emoji42]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Wewe hapo