Kabla ya kupita,tafadhali tueleze usiku wa tar.21/9/2017 kwnini wewe na mwenzio mliacha geti wazi? Mlienda wapi? Kufanya nini?Asante japo napita
Hujaona alivyoruka kesi kijanja, eti anasema na yeye hafahamu kilichotokea.[emoji40] [emoji125]Anza kumhoji Kichwa Kichafu kajileta leo
Ahsante wakili, asisahau pia kutoa maelezo tabia ya kumchungulia jirani yake akioga ameanza lini?[emoji85]Kabla ya kupita,tafadhali tueleze usiku wa tar.21/9/2017 kwnini wewe na mwenzio mliacha geti wazi? Mlienda wapi? Kufanya nini?
Asituchezee akili huyuHujaona alivyoruka kesi kijanja, eti anasema na yeye hafahamu kilichotokea.[emoji40] [emoji125]
Bado jirani yangu, nikirudi nitakutaarifu usiwe na shakaJirani umerudi nije kukusalimia??
Asituchezee akili huyuHujaona alivyoruka kesi kijanja, eti anasema na yeye hafahamu kilichotokea.[emoji40] [emoji125]
Asituchezee akili huyuHujaona alivyoruka kesi kijanja, eti anasema na yeye hafahamu kilichotokea.[emoji40] [emoji125]
Ulale salama jirani yangu kipenzi[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Leo napita usiku mwema.
Sawa [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]mabint wote mkalale sasa hivi ...teh
Sawa [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Jirani nisubirie tuongozane
Huyu ndugu yetu sasa anahitaji msaada wa haraka........ina maana hajasikia wimbo wa chibu kuwa kupiga chabo ni zilipendwa?Ahsante wakili, asisahau pia kutoa maelezo tabia ya kumchungulia jirani yake akioga ameanza lini?[emoji85]
Naam..!! Miss ney[emoji113]
Hahaha mtu na jirani yake bhana, hivi jiranii ulisafiri lini tena, mbona jiraniyo alituambia jana alikuja kwako kuchungulia akakuta unaoga,[emoji40] [emoji85]Bado jirani yangu, nikirudi nitakutaarifu usiwe na shaka
Wasalimie jirani zako......maana inaonekana una utajiri wa majirani mwenzetuSawa [emoji124][emoji124][emoji124][emoji124]
Jirani nisubirie tuongozane
Hahaha hawa jirani jirani wajanja sana, lazima watakua walipeana assist ya kusafiri pamoja sio Bure, haiwezekani upige chabo la mbali namna hiyo kuna kitu hapa [emoji40] [emoji125]Huyu ndugu yetu sasa anahitaji msaada wa haraka........ina maana hajasikia wimbo wa chibu kuwa kupiga chabo ni zilipendwa?
Kwamba ni waarabu wa pemba...........au hata huu msemo huukubali,kwa kuwa ni wa wahenga ππHahaha hawa jirani jirani wajanja sana, lazima watakua walipeana assist ya kusafiri pamoja sio Bure, haiwezekani upige chabo la mbali namna hiyo kuna kitu hapa [emoji40] [emoji125]
Hahaha kwani hapo wameandika wahenga au wewe, huu msemo wako ulioandika naukubali, lakini ule wa Wahenga Big No.[emoji12] [emoji125]Kwamba ni waarabu wa pemba...........au hata huu msemo huukubali,kwa kuwa ni wa wahenga ππ
Hahahaa naona unaanza kujitekenya na kucheka mwenyewe πππHahaha kwani hapo wameandika wahenga au wewe, huu msemo wako ulioandika naukubali, lakini ule wa Wahenga Big No.[emoji12] [emoji125]