JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Bado jirani yangu, nikirudi nitakutaarifu usiwe na shaka
Hahaha mtu na jirani yake bhana, hivi jiranii ulisafiri lini tena, mbona jiraniyo alituambia jana alikuja kwako kuchungulia akakuta unaoga,[emoji40] [emoji85]
Aaah jirani si useme tu mpo wote huko journey[emoji42] [emoji125]
 
Huyu ndugu yetu sasa anahitaji msaada wa haraka........ina maana hajasikia wimbo wa chibu kuwa kupiga chabo ni zilipendwa?
Hahaha hawa jirani jirani wajanja sana, lazima watakua walipeana assist ya kusafiri pamoja sio Bure, haiwezekani upige chabo la mbali namna hiyo kuna kitu hapa [emoji40] [emoji125]
 
Hahaha hawa jirani jirani wajanja sana, lazima watakua walipeana assist ya kusafiri pamoja sio Bure, haiwezekani upige chabo la mbali namna hiyo kuna kitu hapa [emoji40] [emoji125]
Kwamba ni waarabu wa pemba...........au hata huu msemo huukubali,kwa kuwa ni wa wahenga 🙂🙂
 
Kwamba ni waarabu wa pemba...........au hata huu msemo huukubali,kwa kuwa ni wa wahenga 🙂🙂
Hahaha kwani hapo wameandika wahenga au wewe, huu msemo wako ulioandika naukubali, lakini ule wa Wahenga Big No.[emoji12] [emoji125]
 
Back
Top Bottom