Namshukuru Muumba,mapumziko ya mwisho wa juma yamekuwa mazuri mno! Sijui kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.....Huku kwema kabisa, habari za mapumZiko ya mwisho wajuma
Haya maneno yamenikumbusha barua yangu ya kwanza ya mapenzi niliyomwandikia naniliu[emoji39] [emoji40] [emoji125]Namshukuru Muumba,mapumziko ya mwisho wa juma yamekuwa mazuri mno! Sijui kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.....
Nangoja waamke ili niweze kupumzika kwa amaniSubiri tu uone, napuliza pembe sasa hivi hadi waamke! Hawatalala salama!
Bila shaka hukusahau kuchora kopa yenye mkuki ili kuonesha msisitizo wa maneno yako! 🙂🙂🙂🙂Haya maneno yamenikumbusha barua yangu ya kwanza ya mapenzi niliyomwandikia naniliu[emoji39] [emoji40] [emoji125]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Nangoja waamke ili niweze kupumzika kwa amani
[emoji137][emoji137][emoji137]MaSeRAti, NeyBriGhT, DiNGimtoTO, kamu bande hii iko mtu inawaita!
Hahaha [emoji181] ilikua inaandikwa kwenye umbo la [emoji173] ikiambatana na [emoji180] na mwishoni unapata na [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji446] [emoji447] [emoji441] laini wa kubembeleza.Bila shaka hukusahau kuchora kopa yenye mkuki ili kuonesha msisitizo wa maneno yako! 🙂🙂🙂🙂
[emoji122][emoji137][emoji137][emoji137]
Jirani yake dirty head nakuona[emoji125][emoji137][emoji137][emoji137]
[emoji15] [emoji15] [emoji15]
Hivi haya maneno "kupumzika kwa amani" yanafaa kusemwa kwa kimalkia?[emoji125] [emoji125][/QUOTEY
Yanafaa sana tu, nataka ku 'rest in peace' .............Chondechonde usije ukawaambia watu kuwa nime 'R.I.P' utampa presha bure rafiki yangu Kichwa Kichafu
Enzi hizo raha sana, ukisoma barua unajihisi moyo wataka kupasuka a lot of feelings jamani unaitunza zaidi ya pesa, kibaya zaidi unailinda isije kubambwa na baba au mama [emoji28][emoji28]Hahaha [emoji181] ilikua inaandikwa kwenye umbo la [emoji173] ikiambatana na [emoji180] na mwishoni unapata na [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji446] [emoji447] [emoji441] laini wa kubembeleza.
Ishia hapo hapo,utaniliza mtoto wa mwenzio...........hakuna siku zilizokuwa njema katika maisha ya shule,kama siku za barua. Hivi yule uliyekuwa unamwandikiaga na kumchorea hizo kopa, yuko wapi siku hizi?Hahaha [emoji181] ilikua inaandikwa kwenye umbo la [emoji173] ikiambatana na [emoji180] na mwishoni unapata na [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji446] [emoji447] [emoji441] laini wa kubembeleza.
Hulali? Au uliko ni mchanaNi saa ngapi hapo Kwa Pogba?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Enzi hizo raha sana, ukisoma barua unajihisi moyo wataka kupasuka a lot of feelings jamani unaitunza zaidi ya pesa, kibaya zaidi unailinda isije kubambwa na baba au mama [emoji28][emoji28]
Hakika zilikuwa siku njema sana...........lazima uisomee kitandaniEnzi hizo raha sana, ukisoma barua unajihisi moyo wataka kupasuka a lot of feelings jamani unaitunza zaidi ya pesa, kibaya zaidi unailinda isije kubambwa na baba au mama [emoji28][emoji28]
Chaah haika Ruwa Wande, umepotea sana mshiki oko, au ni macho yangu siku hizi yamekua vidonda[emoji12] [emoji40] [emoji125]Hulali? Au uliko ni mchana
Ahahahaaaaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ewaah hiyo kitu wacha kabisa, ila ikibambwa mziki wake kuuzima ni ishu.[emoji6]
Nipe basi sanduku la barua nijikumbushie kidogo kama makali bado yapo [emoji39] [emoji12] [emoji40] [emoji125]