JamiiForums Usiku wa manane

JamiiForums Usiku wa manane

Nleterewa Ngenengo miss you mno............
Wapi Kichwa Kichafu............... nimekukumbuka sana,mpaka naumwa
 
Bila shaka hukusahau kuchora kopa yenye mkuki ili kuonesha msisitizo wa maneno yako! 🙂🙂🙂🙂
Hahaha [emoji181] ilikua inaandikwa kwenye umbo la [emoji173] ikiambatana na [emoji180] na mwishoni unapata na [emoji443] [emoji444] [emoji445] [emoji446] [emoji447] [emoji441] laini wa kubembeleza.
 
Enzi hizo raha sana, ukisoma barua unajihisi moyo wataka kupasuka a lot of feelings jamani unaitunza zaidi ya pesa, kibaya zaidi unailinda isije kubambwa na baba au mama [emoji28][emoji28]
 
Ishia hapo hapo,utaniliza mtoto wa mwenzio...........hakuna siku zilizokuwa njema katika maisha ya shule,kama siku za barua. Hivi yule uliyekuwa unamwandikiaga na kumchorea hizo kopa, yuko wapi siku hizi?
 
Enzi hizo raha sana, ukisoma barua unajihisi moyo wataka kupasuka a lot of feelings jamani unaitunza zaidi ya pesa, kibaya zaidi unailinda isije kubambwa na baba au mama [emoji28][emoji28]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Ewaah hiyo kitu wacha kabisa, ila ikibambwa mziki wake kuuzima ni ishu.[emoji6]
Nipe basi sanduku la barua nijikumbushie kidogo kama makali bado yapo [emoji39] [emoji12] [emoji40] [emoji125]
 
Back
Top Bottom