JamiiForums Usiku wa manane

Ishia hapo hapo,utaniliza mtoto wa mwenzio...........hakuna siku zilizokuwa njema katika maisha ya shule,kama siku za barua. Hivi yule uliyekuwa unamwandikiaga na kumchorea hizo kopa, yuko wapi siku hizi?
Hahaha saivi sijui yuko wapi, tokea aende mjini daresalama sijamwona tena[emoji24]
Nimemkumbuka sana Elisanchicha baada ya kusoma yale maneno yako adhimu.
 
Yaan kama unabarua siku hiyo utatamani hata uoshe vyombo usiku kwa furaha uliyonayo, nakumbuka nilichana godoro na kisu kwaajili ya kuhifadhi barua zangu, na sijawahi kubadilisha sehemu yangu ya kulala ni upande wa ukutani tuu
Hahahahhaha watu mna maneno? Ukutani ili urudie kusoma barua ama?
 
Yaan kama unabarua siku hiyo utatamani hata uoshe vyombo usiku kwa furaha uliyonayo, nakumbuka nilichana godoro na kisu kwaajili ya kuhifadhi barua zangu, na sijawahi kubadilisha sehemu yangu ya kulala ni upande wa ukutani tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…