Neybright
JF-Expert Member
- Feb 1, 2017
- 5,690
- 14,477
Muda wa kawaida tuuNi saa ngapi hapo Kwa Pogba?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muda wa kawaida tuuNi saa ngapi hapo Kwa Pogba?
Hah!!Hulali? Au uliko ni mchana
Ukiwa unaongea na kina Ney naona washiki wafo huwaoni kabisa. Nipo sana mimi wewe mingi msacha okoChaah haika Ruwa Wande, umepotea sana mshiki oko, au ni macho yangu siku hizi yamekua vidonda[emoji12] [emoji40] [emoji125]
Hahaha saivi sijui yuko wapi, tokea aende mjini daresalama sijamwona tena[emoji24]Ishia hapo hapo,utaniliza mtoto wa mwenzio...........hakuna siku zilizokuwa njema katika maisha ya shule,kama siku za barua. Hivi yule uliyekuwa unamwandikiaga na kumchorea hizo kopa, yuko wapi siku hizi?
[emoji15] [emoji15] [emoji15]Ahahahaaaaaa
P.o.box 1
Chato, Geita.
Naona naonaHah!!
Utulie tuliii
Huku gamboshi ni mchana peeeee
Yaan kama unabarua siku hiyo utatamani hata uoshe vyombo usiku kwa furaha uliyonayo, nakumbuka nilichana godoro na kisu kwaajili ya kuhifadhi barua zangu, na sijawahi kubadilisha sehemu yangu ya kulala ni upande wa ukutani tuuHakika zilikuwa siku njema sana...........lazima uisomee kitandani
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji15] [emoji15] [emoji15]
Kama ni Chattle kwakweli bora tu niendelee kula pensheni yangu ya uzee[emoji40] [emoji125] [emoji125]
Hahaha mimi tena ukiandikaga huwa naelewaga automatikia. Itabidi niongeze dozi ya mchicha sasa[emoji39]Najua hutaelewa kuna neno limemisi hapo *namisi wewe mingi.....
Hahahahhaha watu mna maneno? Ukutani ili urudie kusoma barua ama?Yaan kama unabarua siku hiyo utatamani hata uoshe vyombo usiku kwa furaha uliyonayo, nakumbuka nilichana godoro na kisu kwaajili ya kuhifadhi barua zangu, na sijawahi kubadilisha sehemu yangu ya kulala ni upande wa ukutani tuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Yaan kama unabarua siku hiyo utatamani hata uoshe vyombo usiku kwa furaha uliyonayo, nakumbuka nilichana godoro na kisu kwaajili ya kuhifadhi barua zangu, na sijawahi kubadilisha sehemu yangu ya kulala ni upande wa ukutani tuu
Yani uhai upo ashukuliwe Mungu, ila mambo mengine ni [emoji40] [emoji40] [emoji40]Naona naona
Mambo ingine vipi?
Hatujamshika jamani ni marienge yake tuu ndio yanamfanya asikuoneUkiwa unaongea na kina Ney naona washiki wafo huwaoni kabisa. Nipo sana mimi wewe mingi msacha oko
Au umeamua kunitumia address ya Jirani jirani kumbe wazima taa, nimeshtuka[emoji12] [emoji85][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Hahahahhw hapo maneno mazuri. Ndo maana huwa nakumisi atiHahaha mimi tena ukiandikaga huwa naelewaga automatikia. Itabidi niongeze dozi ya mchicha sasa[emoji39]
Haya nakupata sana. Nyie bhana longolongo hamtaki ndo maana mnapiga kimya[emoji38] [emoji38] [emoji12] [emoji12]Yani uhai upo ashukuliwe Mungu, ila mambo mengine ni [emoji40] [emoji40] [emoji40]
Ahahahaaaaaa ndio maana yake hiyo na mlango ukifunguliwa ghafla unailalia faster,Hahahahhaha watu mna maneno? Ukutani ili urudie kusoma barua ama?
Ngoja aseme mwenyewe. Naona akiwa anaongea na nyie hanioni kabisa na siwez nyamaza.Hatujamshika jamani ni marienge yake tuu ndio yanamfanya asikuone