Hapo maneno. Ni kama uji na mgonjwa. Vinaendana barabara.Kwa wewe mshiki wangu hata ukiweka bili kote ni jambo la fanaka kabisa
Alafu usisahau kuweka na bili ya [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji85]
Hahaha mkuu naomba tuyaepushe ya huko Burma.Mmmh Mkuu asalaam alekhuum!!
Hahaha sawa mshiki.Hapo maneno. Ni kama uji na mgonjwa. Vinaendana barabara.
Bili utalipa ile tarehe 23 au 24 decii tukiwa pale mtoni kwa .... usiwe na haraka ya kulipa [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]
Hah unaogopa kuwa M-rhohingya?Hahaha mkuu naomba tuyaepushe ya huko Burma.
Ila huyu kondoo asiyechunwa ngozi acha kabisa[emoji125] [emoji125]
Afadhali ukimbieeee maana sio kwa mpasho huuHahaha aliniambia yeye ni bonge miti yake ni miparachichi tu[emoji40] [emoji125] (Mungu saidia asione hii reply)
Duuuh kwani wewe uko wapi?G.morning........
G.morning General natumaini umeshaswaki.G.morning........
Ohoooh mpasho tena, ngoja nikimbilie kwa kitanda nisije nikasinzia ibadani kesho.[emoji40] [emoji125]Afadhali ukimbieeee maana sio kwa mpasho huu
Haya msacha oko mkunde, Ruwa akuringeOhoooh mpasho tena, ngoja nikimbilie kwa kitanda nisije nikasinzia ibadani kesho.[emoji40] [emoji125]
Amen [emoji120] [emoji120]Haya msacha oko mkunde, Ruwa akuringe
Mimi mapumziko yanaenda poa kabisa,Mungu mwemaNamshukuru Muumba,mapumziko ya mwisho wa juma yamekuwa mazuri mno! Sijui kwako wewe uliye mbali na upeo wa macho yangu.....
huu sasa tunauita usiku wa ma tisa sio manane03:24
Mon 2
Tupo pamoja03:24
Mon 2
raia wameshamalizia wikiendi yao tayar kwa majukum ya kitaifaHamna kabisaa raia huku
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Bac fresh acha wapumzike ili watujengee taifa, wakimaliza nitakuja kupaka rangi