jje's
JF-Expert Member
- Sep 3, 2014
- 10,812
- 16,487
Hapo maneno. Ni kama uji na mgonjwa. Vinaendana barabara.Kwa wewe mshiki wangu hata ukiweka bili kote ni jambo la fanaka kabisa
Alafu usisahau kuweka na bili ya [emoji241] [emoji241] [emoji241] [emoji85]
Bili utalipa ile tarehe 23 au 24 decii tukiwa pale mtoni kwa .... usiwe na haraka ya kulipa [emoji38] [emoji38] [emoji38] [emoji38]